Sensema

Rayvanny & Harmonize - Pop, Tanzania
Sensema
1 Plays
Duration: 4:17
Lyrics
[Intro] (Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) (Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) (S2kizzy baby) yao, yao (Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) Chui (Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) Kondeboy, call me number one [Chorus] Sensema malunde Sensema, sensema (okay) Sensema malunde Sensema, sensema Sensema malunde Sensema, sensema (yeah) Sensema malunde Sensema, sensema [Verse 1 : Rayvanny] We' DJ, ongeza sauti, kudadeki Niko na shemeji yako Nyuma kama Pick-up imеpigwa jeki Yani we' DJ, eh, ongеza sauti, kudadeki A'fu tuzimie taa Tushike viuno vyenye sketi, eh Hakunaga mwaisa mshamba Hakunaga mwaisa mshamba Kazi kazi, macho kwa mikwanja Kazi kazi, macho kwa mikwanja, eh Bwana asifiwe (amen) Milele na milele (amen) Shetani akipita Teke, teke, teke, kule Bwana asifiwe (amen) Milele na milele (amen) Shetani akipita Teke, teke, teke, kule Ukipendwa, safi Ukiachwa, mbaya iyo Ukipata noti, safi Ukifilisika, mbaya iyo Ah, mikopo, safi Ila kulipa, mbaya iyo Eh! Ku-cheat, safi Ukifumaniwa, mbaya iyo [Chorus] Sensema malunde Sensema, sensema (okay) Sensema malunde Sensema, sensema Sensema malunde Sensema, sensema (yao, yao) Sensema malunde Sensema, sensema (Kondeboy, call me number one) Sensema malunde Sensema, sensema (bomboclaat) [Verse 2 : Harmonize] Oh, my gosh Mbona kama ndani hapatoshi Mitungi changanya mimoshi Ah, Konde kadondoka na Posh Hamjasema mpaka mseme, na mtasema Hamjasema mpaka mseme, na mtasema Bwana asifiwe (amen) Milele na milele (amen) Ex akipita Teke, teke, teke, kule Bwana asifiwe (amen) Milele na milele Mange Kimambi akipita Teke, teke, teke, kule Vanamahako twende kwalidu kula Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa Vanamahako twende kwalidu kula Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa Pre-chorus Wazee wa kuchati, safi Ila ukiwa umelewa, mbaya iyo Kila bebe inapenda gongo! Safi Ila likipakazwa mkongo! Mbaya iyo Hakuna mmakonde mshamba Hakuna mmakonde mshamba Kazi kazi, macho kwa mikwanja Kazi kazi, macho kwa mikwanja Hakuna mmachinga mshamba Hakuna mmachinga mshamba Kazi kazi, macho kwa mikwanja Kazi kazi, macho kwa mikwanja (Jeshi) [Chorus] Sensema malunde Sensema, sensema (okay) Sensema malunde Sensema, sensema Sensema malunde Sensema, sensema (yeah) Sensema malunde Sensema, sensema [Outro : Rayvanny] Yii Ama-ma-mapiano Eh, mm, piano, eh Ama-ma-mapiano Eh, mm, piano, eh Ama-ma-mapiano Mm, eh, piano Ama-ma-mapiano Ayi, piano, eh
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- S2Kizzy