Ni Mungu

Rayvanny & Mwamposa - Pop, Swahili
Ni Mungu
2 Plays
Duration: 4:36
Lyrics
[Verse 1 : Rayvanny] Mindo yule walosema sitofika popote Ila Mungu akakataa Mindo yule walonidharau ntakufa kapuku Nimepata wanashangaa Mindo yule kipenzi cha Mungu Wakinichafua ndo kwanza nyota inang'aa Mindo yule dhahabu kwa majivu Sasa ukijichanganya usije dhani ni mkaa [Bridge : Rayvanny] Mmhh, huuuuuuuh uuh Huuuuuh uuh, huuuuh uuh Mungu ananipenda sana Huuuuuh uuh, huuuuh uuh Huuuuuh uuuh, huuuuuh Mungu ananipenda sana [Chorus : Rayvanny] Umeona kagari, huyo ni Mungu Umeona na nyumba, huyo ni Mungu Ukiona nnaringa, ujue ni Mungu Afya tele ninayo, huyo ni Mungu Do you see my car, oooh baba blessings Do you see my house, ooh baba blessings Do you see my family, oooh baba blessings Afya tele tunayo, ooooh baba blessings [Verse 2 : Rayvanny] Mindo yule ambaye sikuaminika na yeyote Nikateseka kwa mitaa Mindo yule walonisahau na kuniita msumbufu Nikatengwa na ndugu na jamaa Mindo yule kipenzi cha Mungu Kila wakiziba njia ninapita nashangaa Mindo yule dhahabu kwa majivu Sasa ukijichanganya usije dhani ni mkaa [Bridge: Rayvanny] Eeh Mungu weeeuweeh Unaweza kumpa hata walie mbagua Ukinipa weeeuweeh Atawakipinga ukitaka inakua [Chorus: Rayvanny] Umeona mashamba, huyo ni Mungu Umeona mifugo, huyo ni Mungu Ona biashara zinasonga, ujue ni Mungu Mafanikio yote, huyo ni Mungu Do you see my car, ooh baba blеssings Do you see my house, ooh baba blessings Do you see my family, ooh baba blessings Afya tеle tunayo, ooh baba blessings [Verse 3 : Mwamposa] Kataa kutiwa hofu na watu Jambo lolote lisikutishie wewe Sema level yako ibadilike Na ili level yako ibadilike, number one Lazima uwe na imani Lazima anza kuamini Acha kusikitika Acha kulia, acha kuuzunika Acha kukaa chini Anza kuinuka, nakuamini Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh [Chorus: Rayvanny] Umeona kagari, huyo ni Mungu Umeona na nyumba, huyo ni Mungu Ukiona nnaringa, ujue ni Mungu Afya tele ninayo, huyo ni Mungu
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Producers
- Beat Killer