Honey

Album cover art for "Honey" by Rayvanny & Ray C

Rayvanny & Ray C - Pop

Honey

0 Plays

Duration: 4:08

View Album

Lyrics

Language:

Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything Ananiamsha kwa mabusu mabusu Mama ananipa massage ya mwili kwa chuchu Nyama ananipa biriani upaja wa kuku Jamaa mbuzi kaja zizini simba na Zuchu Na wanune wanune wanune Na iwaume wakose cha kusema paka shume Najua inawachoma choma kushinda pini Wanatamani ndo wangekuwa mimi Unavyonipa joto centigrade tisini Aah raha Najichanganya hiliki na mdalasini Lowesha nguo nisiende kazini Nkichafuka nifute kwa ulimi Aaah raha raha Ooh oooh..oooh Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything Yeah yeah yeah yeah... Yeah yeah yeah yeah... Mapenzi ni kama upepo Unavuma ukipepea mioyo yetu Umevumini kwetu vicheko Wameona ununa hizo sio shida zetu Na wanune, wanune wanune Na wanune hawakosi cha kusema paka shume Si umuache, wacha tukusaidie So tukonaye, acha tukusaidie Mlisema wa nini, acha tukusaidie Acha tukusaidie Ukasema umemchoka, acha tukusaidie Leo macho yanakutoka, acha tukusaidie Mnanuna nini wewe, acha tukusaidie Oooh, oooh, oooh... Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything Honey love sweetheart teamo My love, my baby, my everything

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found