Kamasutra

Lyrics
[Intro] Sauti Sol (Sauti Sol) Vee Money on the track Oh [Chorus: Sauti Sol & Vanessa Mdee] Leo kama- kamasutra mama (kamasutra) Kama- kama- kamasutra mama ye, ye, yeyee (kamasutra) Kama- kama- kamasutra baba (kamasutra) Kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra) [Verse 1: Vanessa Mdee & Sauti Sol] Nitakupa kazi upande mlima, baby, yeah Na siri zangu zote nitatoboa, yeah So many things I want to do to you, my baby, yeah Na siri zako mi' sitatoboa, huh [Verse 2: Sauti Sol] Selektah I got something to make you better Like the fire mi' napepeta Like the fire mi' napepeta, eeh Selektah (selektah) I got something to make you better (better) Like the fire mi' napepeta (pepeta) Like the fire mi' napepeta (pepeta) [Chorus: Sauti Sol & Vanessa Mdee] Leo kama- kamasutra mama (kamasutra) Kama- kama- kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra) Kama- kama- kamasutra baba, eeh, ooh (kamasutra) Kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra) [Verse 3: Vanessa Mdee & Sauti Sol] Chali wa Nairobi manzi wa [?] Leo ni mahaba nakupatia Rusha washa nari hamjam kare Leo michuano [?] jamila Na si marimari, hii bei kali Cash Madam nakubalika Mboga juu ya meza teleza kimrenda Washa udi na kadhalika Vanessa, I got something to make you wetter Baby, let me kiss it better Like the fire mi' napepeta Selektah, I got something to make you rise up Lemme back it up on you Like the fire mi' napepeta Leo kama kamasutra (kamasutra) Kamasutra (kamasutra) Kama- kama- kamasutra (kamasutra) Kamasutra (kamasutra) [Verse 4: Sauti Sol, Vanessa Mdee,, Both] Mapenzi yake [?] yanimaliza Kiuno kama [?], baby, punguza Tulishakubali wanafunzi, wewe professor wa kamasutra Mapenzi yake [?] pachika (pachika) uno kama [?] , baby, tulia (tulia) Bali wanafunzi mimi professor (professor) Kamasutra Mizani kama mimi naondoka nawe Napiga mahesabu naondoka nawe [?] kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra} Mizani kama mimi naondoka nawe Napiga mahesabu naondoka nawe Leo kama kamasutra (kamasutra) Kamasutra (kamasutra) Kama- kama- kamasutra (kamasutra) Kamasutra (kamasutra)
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...