Niroge

Lyrics
Nahreel on the beat Mmmh mh mh Ei yeeee Raha ya nyumba mwanaume Wacha nikutunze Nyumba yetu tuipambeee Hapo nyuma tulishindiaga mabwende Karanga na makande?? Ugali dona sembe Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko) Hawaishi (longolongo) Vimaneno kama (viroboto) Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto Jamani sielewi Baby your Ukimona furaha tele moyoni Nikimona anatabasamu usoni×2 Naomba uniroge×3 Kwani mapenzi matamu Naomba uniroge×3 Sikusifii We mwanaume nguzo Ulishindana vikwazo Tangu mwanzo Ulipambana na wenye nazo Ili niwe mali yako Leo kula vyakooo Your my dream in my life Hata me moyoni we ndo unanifaa Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko) Hawaishi (longolongo) Vimaneno kama (viroboto) Wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto Jamani sielewi Baby your Ukimona furaha tele moyoni Nikimona anatabasamu usoni×2 Naomba uniroge×3 Kwani mapenzi matamu Naomba uniroge×3 To the left To the right my life×3to the left Kwani mapenzi matamu To the left To the right my life×3to the left Kwani mapenzi matamu Ukimona furaha tele moyoni Nikimona anatabasamu usoni×2 Naomba uniroge×3 Kwani mapenzi matamu Naomba uniroge×3 To the left To the right×3to the left×2
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Vanessa Mdee, Barnaba