Natlan

Album cover art for "Natlan" by HOYO-MiX

HOYO-MiX - Pop, Gaming

Natlan

5.1K Plays

Duration: 5:18

View ArtistView Album

Lyrics

[Intro] Shambulia! Beba Silaha Pigana mpaka mwishowe Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote Rudi kwa pambaja ya dunia [Chorus] Hadithi yaendelea (Kama moto) Heshima warithi vizazi (Waka daima) Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia Rudini ndugu, rudini mashujaa Mara ya tena mwangani [Instrumental Interlude] [Verse] Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana) Ushujaa wenu ni imara? (Bila shaka) Kumbukeni majina ya mashujaa Andameni uwanjani Kwa jamaa, nchi na taifa (Zuri, safi, sawa) Kwa Matumaini, mbeleni, malengo (Vuma, raha, nguvu) [Interlude] Rudini tunawangojeni [Pre-Chorus] Nyimbo kelele sana Sikiliza zitakuongoza nyumbani [Chorus] Hadithi yaendelea (Kama moto) Heshima warithi vizazi (Waka daima) Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia Rudini ndugu, rudini mashujaa Mara ya tena mwangani [Outro] Maisha marefu ni sasa!

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Credits Not Found