Linda Moyo

H_art the Band & Nyota Ndogo - Pop
Linda Moyo
0 Plays
September 25, 2019.
Lyrics
[Verse 1: Nyota Ndogo] Nasikia wanitafuta Kama wanipenda nakuomba njoo kwetu Na ile njia ninayopita Wanifatafata nakuomba njoo kwetu Mzee Ali alinikataza kuhusuwewe Nadadangu Aisha alinikanyakuhusu wewe [Chorus: Nyota Ndogo] Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wanguusiumie Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie [Verse 2: H_art the Band] Nimeambiwa Umesikia sifa zangu mbaya Kuwa mimi kinara Kwenye karata ya wanadada Ukweli usemwe mama Uzuri wako umezidi wale wote nimeona Na usifunge moyo sana Kwani wewe mwenyewe ndio sababu kuu mimi kupona Nataka kukujulisha Wewe ndio utanibadilisha Tabia zangu nitasafisha Mipango yote tuweze kamilisha Mahari mi nitalipa Kunyunyuzie penzi bila kupima Naomba Nyota yangu ufanye hima Usikazie moyo wako kupenda (penda) [Chorus: Nyota Ndogo] Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie [Verse 3: H_art the Band] Ati Love ni drug na I think umenipatia overdose It's too much Mi staki kufall in love but nimeumwa na love bug I'm this close Late night chats kila usiku Nikikulenga asubuhi napata message ndefu Messenge ndefu ati kwani what did I do? Am I being too much? Ama I'm just overthinking niwache tu? Yaani love ni drug na we tu ndio foam kama top layer ya keg kwa jug Love ni drag kutoka hapa mpaka pale Kwa yule mwenye urembo imeenda shule Kama ni mahari nitalipa mi sipendangi vitu za bure Magari nje ya nyumba na ma chauffeur ukidai kwenda hapa kule Haba na haba aki ya nani si umejaza mama Nipe mahaba nikule I'm drunk in love mi siwezibleki bure It's too much Nataka kupitia kwenyu nikwambie Lakini baba yako Chief na hanipendi Amesema mimi mtaani King wa mischief Mama yako hatunanga beef lakini juzi bahati mbaya alinipata nikitoa kamasi bila handkerchief akanikashifu I'm figuring Wacha nikuweke ring kwa finger Na mafisi before hawajafika Pastor ameshaawika (Hi there supuu) "You may now kiss the bride..." kwa altar Mambo ni mdogo mdogo ndogo Haina haja kuipeleka faster [Outro: Nyota Ndogo] Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie Nalinda Heshima yangu, Utu wangu Moyo wangu usiumie
Rate this song
0/5.0 - 0 Ratings
Loading comments...
Credits
- Writers
- Nyota Ndogo
- H_art the Band