Advertisement

Issa Vibe

Album cover art for "Issa Vibe" by H_art the Band & Sauti Sol

H_art the Band & Sauti Sol - Pop

Issa Vibe

0 Plays

September 25, 2019.

Lyrics

[Intro] Usiogope kutoa wazimu Issa Vibe Issa Party each and every jam session (Gituamba!) [Chorus] (Issa Vibe) Issa Vibe IssaParty Eachand every jamsession (Turn around) Turn around back itup I wanna see you in rotation Juu nimecome kudo kile umecome kudo Usiogope kutoa wazimu (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session [Verse 1] Vile umedunga look at you Vibe zimechocha zimecome through I've been looking around Looking for someone like you Won't you come my way Juu kuna wanati wamekuja na mavela Na mapinchi wanachunana mahela Na kile nataka ni kukatika nawe Katika tena na tena Na kila mahali kumewaka tu mavela Na mapinchi wameshaachafua meza Na kile nataka ni kukatika nawe Katika tena na tena Oh nisamehe What I'm about to do ni kubleki tu Nisamehe Issa Vibe Issa Vibe Issa Vibe [Chorus] (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session (Turn around) Turn around back it up I wanna see you in rotation Juu nimecome kudo kile umecome kudo Usiogope kutoa wazimu (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session [Verse 2] Savara na Kenchez Muya Waluhya vakhana khuvatuya Wale wabaya pia we unatambua so Fuata nyayo step piga hatua Kama hujui basi leo utajua Cheza na radar ka' Umekibeba na Uslete noma ka' Zimekushika na Bonga na Rhoda Pale kwa kona Toto kiboko pia wewe unaona Anavyozungusha kiuno utakoma Mister Selekta usikatisie ngomaaa Issa Vibe [Chorus] (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session (Turn around) Turn around back it up I wanna see you in rotation Juu nimecome kudo kile umecome kudo Usiogope kutoa wazimu (Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party Each and every jam session [Verse 3] Mbogi ni ya Rongai Matatu 125 Warembo hips don't lie Mbogi ya Kimonyoski Juu ya Timber na maKhaki Mangoto na maNatty Macookie na makeki Makali na majani Na tunaiwasha katikati Ikizima tunaseti Basi roll ingine freshy Chini ya maji tunamedi And I don't wanna be your boyfriend Mi nataka one night stand Na vile umedunga utafanya mi nispend (kichwa tu) And I don't wanna be your boyfriend Mi nataka one night stand Na vile umedunga utafanya mi nispend Oh no no no no Don't you know Issa Vibe [Chorus] (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session (Turn around) Turn around back it up I wanna see you in rotation Juu nimecome kudo kile umecome kudo Usiogope kutoa wazimu (Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party Each and every jam session (Issa Vibe) Issa Vibe Issa Party Each and every jam session (Turn around) Turn around back it up I wanna see you in rotation Juu nimecome kudo kile umecome kudo Usiogope kutoa wazimu (Issa Vibe) Issa Vibe Isaa Party Each and every jam session

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Sauti Sol
  • H_art the Band