Advertisement

Ukimwona

Album cover art for "Ukimwona" by H_art the Band

H_art the Band - Pop

Ukimwona

17.3K Plays

View Artist

September 25, 2019.

Lyrics

[Verse 1] Kusema kweli bado nakuhata And on the daily, bado nakufuata Kosa sio hoja, zaidi ya kukupenda Vipi nikatupandototulizoziota [Bridge] Uliniwasha nare Enzi zetuza kupare Kwa mvinyo na makali Magizani hadingware Nikijifanya dakitare Wa mabinti wale Wenye shepu za hatari Nikapotelea ndani [Chorus] Ila mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona [Verse 2] Tabasamu la kishua Roho sawa na maua I can't help miss you every morning Vile unapendeza Kama ningewezajua Yepi ya kutarajia Nisingejipata mashakani Kwa niliyoyatenda Ninayempenda ni wewe Hakuna mwingine wa Kubadili penzi Ningependa tuelewane Kiburi kisinikosanishe nawe [Bridge] Uliniwasha bare Na sikushika nare Ukanisema kwa jirani Kwamba mimi kisirani Aibu za hadharani Vile penzi hatari Njoo unipe amani Kama hapo zamani [Chorus] Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona Mwambie nampenda Roho yamtamani Bado nampenda Ukimwona

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • H_art the Band