Baba Lao

Album cover art for "Baba Lao" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Swahili

Baba Lao

15.4K Plays

View ArtistView Album

Lyrics

Language:

S2kizzy baby! Ayoo Lizer [Hook: Diamond Platnumz] Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Makonda baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao [Verse 1: Diamond Platnumz] Ngoma kwa ngoma ni kopo koko Leo ndani twakesha popo Waiter tasambazia moko moko Moja baridi, Moja moto Mmechoka eti?? (Aaah! Wapi) Mnataka lala?? (Aaah! Wapi) Tungi limezidi?? (Aaah! Wapi) Tuzime muziki??(Aaah! Wapi) [Bridge: Diamond Platnumz] Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba?? Inogile inatamba, basi chanika musamba Eeeh!! Wataweza kweli?? (Aaah! Wapi) Kushindana nasi?? (Aaah! Wapi) Hata wakiungana?? (Aaah! Wapi) Matusi kututukana?? (Aaah! Wapi) [Hook: Diamond Platnumz] Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Mwakyembe baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao [Verse 2: Diamond Platnumz] Hajib selema, Adija Selema (Selema) Mondi nyangema, Shimo ametema (ametema) Amefosi bifu mseleleko (Eeeh! Tumemkwepa) Amebaki masononeko (Eeeh! Wanamcheka) Kwanza kunja goti (Lee kunja goti) Kisha vua shati (Eeeh vua shati) Cheza kama monkey (Aiii!) Vunja ukidanki danki Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude) [Bridge: Diamond Platnumz] Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! Chizi karogwa tena! Chizi.. Chizi karogwa tena eeeh! [Hook: Diamond Platnumz] Dangote baba lao (Baba lao) Simba baba lao (Baba lao) Chibu baba lao (Baba lao) Mondi baba lao (Baba lao) Eeeh Zombie baba lao (Baba lao) Magufuli baba lao (Baba lao) Majaliwa baba lao (Baba lao) Wasafi chama lao [Bridge: Diamond Platnumz] Mzuka ukipanda na hili shati navua (acha uongo) Mzuka ukipanda na hili bukta navua (acha uongo) Jamani navua (acha uongo) Mama navua (acha uongo) Mwenzenu navua (acha uongo) Eeeeh! Kuna Basata Basi napiga Yope (Huwezi) Ooooh! Napiga Yope (Huwezi) Iyobo napiga Yope (Huwezi) Mi napiga Yope (Huwezi) Eeeeh X12 Tale napiga Yope (Huwezi) Mi napiga Yope (Huwezi) Momo napiga Yope (Huwezi) Fungwe napiga Yope (Huwezi) Eeeeh X12

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz