Natamani

Album cover art for "Natamani" by Diamond Platnumz

Diamond Platnumz - Pop, Swahili

Natamani

2 Plays

View Artist

Lyrics

Language:

[Chorus] Mi kweli natamani SIku iwezekane Nifumbue macho mi kuona Nijue sababu gani (Ni) Unanipenda sana Wakati siwezi mi kuona? Mi kweli natamani SIku iwezekane Nifumbue macho mi kuona Nijue sababu gani (Ni) Unanipenda sana Wakati siwezi mi kuona? [Verse 1] Mara nyingi peke yangu nawaza Namuomba Mungu nisije kukwaza Nikaja kukupa maudhi na nafsi kuichoma... Chai Tena usiku mzima nalia darling Napiga goti kwa Mola nasali Azidi tupe baraka tusije kosa dona... [Pre-Chorus] Eiih Mi macho yangu Nimejaliwa mboni lakini nuru sina Ningekuwa na uwezo Ningefanya kazi nikuhudumie Upofu wangu Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina Lakini unanijali Mbali na mengi Unanipenda sana [Chorus] Mi kweli natamani (natamani) SIku iwezekane (iwezekane) Nifumbue macho mi kuona Nijue sababu gani (Ni) Unanipenda sana Wakati siwezi mi kuona? Mi kweli natamani SIku iwezekane Nifumbue macho mi kuona Nijue sababu gani (Ni) Unanipenda sana Wakati siwezi mi kuona? (eiih) [Verse 2] Nasikia kuna rangi ya upendo Ili upendwe kuna pozi za mwendo Utanashati, udambu dambu na urembo mi sina... Chai Mi natamani nitazame Kwa ardhi na mbingu nilalame Nipande mawingu na niiname Uwenda nikaona... [Pre-Chorus] Eiih Mi macho yangu Nimejaliwa mboni lakini nuru sina Ningekuwa na uwezo Ningefanya kazi nikuhudumie Upofu wangu Ndio kikwazo kikubwa, mwenzako raha sina Lakini unanijali Mbali na mengi Unanipenda sana [Chorus] Mi kweli natamani (kweli natamni) SIku iwezekane (iwezekane) Nifumbue macho mi kuona (hii...) Nijue sababu gani (ni sababu gani) (Ni) Unanipenda sana (unanipenda sana) Wakati siwezi mi kuona? (eh eh eh) Mi kweli natamani (natamani mama) SIku iwezekane (iwezekane) Nifumbue macho mi kuona (nikuone) Nijue sababu gani (eh, eh eh) (Ni) Unanipenda sana (oh, oh oh) Wakati siwezi mi kuona? [Interlude] Eh eh Nikuone mama Niweze tazama Eh eh eh eh [Outro] Everybody say, eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh I love you, nakupenda Chai Eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh eh Eh eh eh eh eh I love you, nakupenda Tai Eh eh eh eh eh (eh eh) Eh eh eh eh eh eh (oh oh) Eh eh eh eh eh I love you, nakupenda...

Rate this song

Rate this song

0/5.0 - 0 Ratings

5
0.0% (0)
4
0.0% (0)
3
0.0% (0)
2
0.0% (0)
1
0.0% (0)

Loading comments...

Credits

Writers
  • Diamond Platnumz